Template:Privacy statement/sw: Difference between revisions
Updating to match new version of source page |
Updating to match new version of source page |

Line 2: | Line 2: | ||
{{Help translate/Privacy statements}} |
{{Help translate/Privacy statements}} |

{{documentation}}</noinclude> |
{{documentation}}</noinclude> |

Taarifa hii ya faragha inatimiliza Sera ya Faragha ya Wikimedia Foundation[[Special:MyLanguage/Privacy policy| ya washiriki]] {{{title|}}}. Tunaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, kushiriki, kuhifadhi na kufuta maelezo tunayopokea kutoka kwa washiriki. |
Taarifa hii ya faragha inatimiliza Sera ya Faragha ya Wikimedia Foundation[[Special:MyLanguage/Policy:Privacy policy| ya washiriki]] {{{title|}}}. Tunaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, kushiriki, kuhifadhi na kufuta maelezo tunayopokea kutoka kwa washiriki. |

{{Infobox privacy statement |
{{Infobox privacy statement |

|title={{#if:{{{title|}}}|{{{title|}}}}} |
|title={{#if:{{{title|}}}|{{{title|}}}}} |

Line 157: | Line 157: | ||
| To facilitate this publishing, you agree to license your copyrightable contributions under the terms of [//creativecommons.org/licenses/by-sa/3.0/ Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0] and [//creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/ 4.0].}}}}}}}} |
| To facilitate this publishing, you agree to license your copyrightable contributions under the terms of [//creativecommons.org/licenses/by-sa/3.0/ Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0] and [//creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/ 4.0].}}}}}}}} |

'''Ufikiaji:''' {{#ifeq: {{{volunteers}}} | Yes | Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji, watoa huduma na watu wanaojitolea wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua. | Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji na watoa huduma wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua. }} {{#if:{{{partner|}}}| Tafadhali fahamu kwamba tunashirikiana na {{#if:{{{link_partner|}}}|[{{{link_partner|}}} {{{partner|}}}]| {{{partner|}}}}}, ambaye pia anabanwa na majukumu ya mkataba kuzingatia maelezo yako mara kwa mara kwa kanuni za [[Special:MyLanguage/Privacy policy| Sera yetu ya Faragha]].}} |
'''Ufikiaji:''' {{#ifeq: {{{volunteers}}} | Yes | Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji, watoa huduma na watu wanaojitolea wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua. | Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji na watoa huduma wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua. }} {{#if:{{{partner|}}}| Tafadhali fahamu kwamba tunashirikiana na {{#if:{{{link_partner|}}}|[{{{link_partner|}}} {{{partner|}}}]| {{{partner|}}}}}, ambaye pia anabanwa na majukumu ya mkataba kuzingatia maelezo yako mara kwa mara kwa kanuni za [[Special:MyLanguage/Policy:Privacy policy| Sera yetu ya Faragha]].}} |

'''Kushiriki kwingine:''' Huenda tukafichua maelezo yoyote tuliyokusanya inapohitajika kisheria, wakati tuna ruhusa yako, inapohitajika ili kulinda haki, faragha, usalama wako, watumiaji au umma kwa jumla na inapohitajika ili kutekeleza [[Special:MyLanguage/Terms of Use| Sheria na Masharti yetu]] au sera nyingine yoyote ya Wikimedia. |
'''Kushiriki kwingine:''' Huenda tukafichua maelezo yoyote tuliyokusanya inapohitajika kisheria, wakati tuna ruhusa yako, inapohitajika ili kulinda haki, faragha, usalama wako, watumiaji au umma kwa jumla na inapohitajika ili kutekeleza [[Special:MyLanguage/Policy:Terms of Use| Sheria na Masharti yetu]] au sera nyingine yoyote ya Wikimedia. |

==[[File:WMF safe.png|60px|link=|alt={{Tunit|191|icon|Template:Privacy statement}}]] Ulinzi== |
==[[File:WMF safe.png|60px|link=|alt={{Tunit|191|icon|Template:Privacy statement}}]] Ulinzi== |
Revision as of 14:20, 26 March 2024
Taarifa hii ya faragha inatimiliza Sera ya Faragha ya Wikimedia Foundation ya washiriki . Tunaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, kushiriki, kuhifadhi na kufuta maelezo tunayopokea kutoka kwa washiriki.
Kukusanya na Kutumia Maelezo
Sababu ya kukusanya maelezo yako
Mradi huu utatusaidia . Tutatumia maelezo unayotupa:
Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu, tafadhali tuma barua pepe kwa wikimedia.org.
Maelezo tunayokusanya
Ukichagua kushiriki, tutakuomba utoe aina zifuatazo za maelezo.
- Majibu ya maswali
- kama vile majibu yaliyofafanuliwa na huru
Kushiriki
Kuchapisha: Tutachapisha data ya kutambua (kama vile manukuu ya moja kwa moja pamoja na sifa) na data isiyotambua (kama vile manukuu, takwimu zisizo na majina au data nyingine ya jumla). To facilitate this publishing, you agree to license your copyrightable contributions under the terms of Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 and 4.0.
Ufikiaji: Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji na watoa huduma wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua.
Kushiriki kwingine: Huenda tukafichua maelezo yoyote tuliyokusanya inapohitajika kisheria, wakati tuna ruhusa yako, inapohitajika ili kulinda haki, faragha, usalama wako, watumiaji au umma kwa jumla na inapohitajika ili kutekeleza Sheria na Masharti yetu au sera nyingine yoyote ya Wikimedia.
Ulinzi
Muda ambao tunahifadhi maelezo yako
Data tunayokusanya itafutwa, kutolewa utambulisho, au kujumlishwa ndani ya siku 90. Tazama miongozo yetu ya uzuiaji wa data kwa maelezo zaidi.
Mtu wa kuwasiliana naye
Ikiwa una maswali, tafadhali tuma barua pepe kwa wikimedia.org. Washiriki ambao wangependa kubadilisha, kufikia au kufuta maelezo waliyotoa wanapaswa kuwasiliana nasi kwa maombi yao.