Translations:Policy:Universal Code of Conduct/86/sw
Kauli za chuki za aina yoyote ile zenye lengo la kudharau, kudhalilisha, au kuchochea chuki dhidi ya kikundi au tabaka la watu kwa misingi ya rangi, dini, rangi ya ngozi, utambulisho wa kijinsia, mwelekeowa wa kijinsia, kabila, ulemavu, au asili ya utaifa