Translations:Policy:Universal Code of Conduct/8/sw: Difference between revisions

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Content deleted Content added
Importing a new version from external source
 
Kisare (talk | contribs)
No edit summary
Line 1: Line 1:
!!FUZZY!!Mwongozo huu wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (UCoC) unatoa tafsiri ya tabia inayokubalika na isiyokubalika katika harakati za shirika la Wikimedia. Mwongozo huu utatumika kwa kila mmoja ambaye kwa namna moja ama nyingine anahusika na uchangiaji wa maudhui katika miradi ya Wikimedia Foundation mtandaoni , nje ya mtandao au katika sehemu yoyote ambapo shughuli za Wikimedia zinafanyika.
Mwongozo huu wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (MUKIMUMA) unatoa tafsiri ya tabia inayokubalika na isiyokubalika katika harakati za shirika la Wikimedia. Mwongozo huu utatumika kwa kila mmoja ambaye kwa namna moja ama nyingine anahusika na uchangiaji wa maudhui katika miradi ya Wikimedia Foundation mtandaoni , nje ya mtandao au katika sehemu yoyote ambapo shughuli za Wikimedia zinafanyika.
Mwongozo huu utafuatwa na wanawikimedia wote yaani wachangiaji wapya na wazoefu, vyombo mbalimbali vya utendaji katika miradi ya Wikimedia Foundation, wafanyakazi na wajumbe wa bodi. Mwongozo huu pia utatumika katika mikutano yote yaani ya ana kwa na ile ya mtandaoni, sehemu mbalimbali ambazo miradi ya Wikimedia itakuwa ikifanyika, katika miradi yote ya Wikimedia pamoja na katika Wiki (Wikipedia) zote.
Mwongozo huu utafuatwa na wanawikimedia wote yaani wachangiaji wapya na wazoefu, vyombo mbalimbali vya utendaji katika miradi ya Wikimedia Foundation, wafanyakazi na wajumbe wa bodi. Mwongozo huu pia utatumika katika mikutano yote yaani ya ana kwa na ile ya mtandaoni, sehemu mbalimbali ambazo miradi ya Wikimedia itakuwa ikifanyika, katika miradi yote ya Wikimedia pamoja na katika Wiki (Wikipedia) zote.

Revision as of 04:23, 19 April 2024

Information about message (contribute)
This message has no documentation. If you know where or how this message is used, you can help other translators by adding documentation to this message.
Message definition (Policy:Universal Code of Conduct)
We believe in empowering as many people as possible to actively participate in Wikimedia projects and spaces, to reach our vision of a world in which everyone can share in the sum of all human knowledge. We believe our communities of contributors should be as diverse, inclusive, and accessible as possible. We want these communities to be positive, safe and healthy environments for anyone who joins (and wants to join) them. We are committed to ensuring that it remains so, including by embracing this Code of Conduct and revisiting for updates as needed. Also, we wish to protect our projects against those who damage or distort the content.

Mwongozo huu wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (MUKIMUMA) unatoa tafsiri ya tabia inayokubalika na isiyokubalika katika harakati za shirika la Wikimedia. Mwongozo huu utatumika kwa kila mmoja ambaye kwa namna moja ama nyingine anahusika na uchangiaji wa maudhui katika miradi ya Wikimedia Foundation mtandaoni , nje ya mtandao au katika sehemu yoyote ambapo shughuli za Wikimedia zinafanyika. Mwongozo huu utafuatwa na wanawikimedia wote yaani wachangiaji wapya na wazoefu, vyombo mbalimbali vya utendaji katika miradi ya Wikimedia Foundation, wafanyakazi na wajumbe wa bodi. Mwongozo huu pia utatumika katika mikutano yote yaani ya ana kwa na ile ya mtandaoni, sehemu mbalimbali ambazo miradi ya Wikimedia itakuwa ikifanyika, katika miradi yote ya Wikimedia pamoja na katika Wiki (Wikipedia) zote.