Translations:Policy:Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/3/sw

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Revision as of 05:14, 25 May 2023 by RamzyM (WMF) (talk | contribs) (Importing a new version from external source)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)

Miongozo hii ya Utekelezaji inaelezea jinsi jumuiya na Wikimedia Foundation wataweza kufikia malengo ya Kanuni Majumui za Maadili (UCoC). Hii ni pamoja na, miongoni mwa mada nyingine: kukuza uelewa wa UCoc, kushiriki katika kazi ya haraka ili kuzuia ukiukaji, kubuni kanuni za kushughulikia ukiukaji wa UCoC, na kusaidia miundo ya utekelezaji wa ndani.