Resolution:Approval of Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines/sw: Difference between revisions

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Content deleted Content added
Kisare (talk | contribs)
Created page with "'''Kwa kuwa,''' katika uchaguzi wa baadaye uliofanywa mnamo Januari-Februari 2023, miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa ilikubaliwa na asilimia 76;"
Kisare (talk | contribs)
Created page with "Kwa hivyo,"
Line 20: Line 20:
'''Kwa kuwa,''' katika uchaguzi wa baadaye uliofanywa mnamo Januari-Februari 2023, miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa ilikubaliwa na asilimia 76;
'''Kwa kuwa,''' katika uchaguzi wa baadaye uliofanywa mnamo Januari-Februari 2023, miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa ilikubaliwa na asilimia 76;


Kwa hivyo,
<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">
Now, therefore, it is
</div>


<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">
<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">

Revision as of 03:37, 19 April 2024

Resolutions Miongozo ya Utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Machi 2020.

Kwa kuwa, mnamo 2020, Bodi ya Wadhamini ilipitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ("UCoC", kutokana na jina la Mwongozo katika Kiingereza) kama sera ya kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia;

Kwa kuwa, awamu ijayo ya kutekeleza UCoC ni kutangaza miongozo ya utekelezaji;

Kwa kuwa, uchaguzi ulifanywa na jumuiya kuhusu kukubali rasimu ya kwanza ya miongozo ya utekelezaji wa UCoC mnamo Machi 2022;

Kwa kuwa, ingawa miongozo ya utekelezaji ilikubaliwa na asilimia 57 ya kura, kikoa cha mradi wa UCoC na Bodi ya Wadhamini zilifunga kurekebisha miongozo kwa kufuatana na shauri la jumuiya, na kufanya uchaguzi wa ziada;

Kwa kuwa, baada ya Machi 2022, Kamati ya Marekebisho yenye watu wajitoao na wafanyakazi walitayarisha miongozo ya utekelezaji ya kurekebisha; na

Kwa kuwa, katika uchaguzi wa baadaye uliofanywa mnamo Januari-Februari 2023, miongozo ya utekelezaji iliyorekebishwa ilikubaliwa na asilimia 76;

Kwa hivyo,

RESOLVED, that the Board hereby approves the revised Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines.

Connect
Nataliia Tymkiv (Chair), Esra'a Al Shafei (Vice Chair), Shani Evenstein Sigalov (Vice Chair), Luis Bitenourt-Emilio, Victoria Doronina, Dariusz Jemielniak, Lorenzo Losa, Raju Narisetti, Mike Peel, Rosie Stephenson-Goodknight, Jimmy Wales
Wasiopo
Tanya Capuano

References