Resolution:Approval of Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines/sw: Difference between revisions

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Content deleted Content added
Kisare (talk | contribs)
No edit summary
Kisare (talk | contribs)
Line 29: Line 29:


=== {{int string|References}} ===
=== {{int string|References}} ===
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct|Azimio:Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]] (9 Desemba 2020)
<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct|Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct]] (December 9, 2020)
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Revising Universal Code of Conduct, September 2022|Azimio:Kurekebisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili, Septemba 2022]] (Septemba 8, 2022)
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Revising Universal Code of Conduct, September 2022|Resolution:Revising Universal Code of Conduct, September 2022]] (September 8, 2022)
* [[Special:MyLanguage/Minutes:March 2022|Dakika, Machi 2022]]
* [[Special:MyLanguage/Minutes:March 2022|Minutes, March 2022]]
</div>
<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">
<div lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/Voting/Results|2022 vote on enforcement guidelines]] (March 2022)
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/Voting/Results|2022 vote on enforcement guidelines]] (March 2022)

Revision as of 03:45, 19 April 2024

Resolutions Miongozo ya Utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Machi 2020.

Kwa kuwa, mnamo 2020, Bodi ya Wadhamini ilipitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ("UCoC", kutokana na jina la Mwongozo katika Kiingereza) kama sera ya kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia;

Kwa kuwa, awamu ijayo ya kutekeleza UCoC ni kutangaza miongozo ya utekelezaji;

Kwa kuwa, uchaguzi ulifanywa na jumuiya kuhusu kukubali rasimu ya kwanza ya miongozo ya utekelezaji wa UCoC mnamo Machi 2022;

Kwa kuwa, ingawa miongozo ya utekelezaji ilikubaliwa na asilimia 57 ya kura, kikoa cha mradi wa UCoC na Bodi ya Wadhamini zilifunga kurekebisha miongozo kwa kufuatana na shauri la jumuiya, na kufanya uchaguzi wa ziada;

Kwa kuwa, baada ya Machi 2022, Kamati ya Marekebisho yenye watu wajitoao na wafanyakazi walitayarisha miongozo ya utekelezaji ya kurekebisha; na

Kwa kuwa, katika uchaguzi wa baadaye uliofanywa mnamo Januari-Februari 2023, miongozo ya utekelezaji ya marekebisho ilikubaliwa na asilimia 76;

Sasa, kwa hivyo,

IMEAZIMIWA, kwamba Bodi tangu sasa imepitisha Miongozo ya Utekelezaji wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kama ilivyorekebishwa.

Connect
Nataliia Tymkiv (Chair), Esra'a Al Shafei (Vice Chair), Shani Evenstein Sigalov (Vice Chair), Luis Bitenourt-Emilio, Victoria Doronina, Dariusz Jemielniak, Lorenzo Losa, Raju Narisetti, Mike Peel, Rosie Stephenson-Goodknight, Jimmy Wales
Wasiopo
Tanya Capuano

References