Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct/sw: Difference between revisions

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Content deleted Content added
Kisare (talk | contribs)
Created page with "Azimio: Tamko la Bodi kuhusu Afya ya Jumuiya (2020)"
Kisare (talk | contribs)
Created page with "Tamko kuhusu Utamuduni wa Jumuiya yenye Afya, Ushirikiano, na Mahali Salama (May 2020)"
Line 24: Line 24:
* [[Special:MyLanguage/Policy:Universal Code of Conduct|Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]]
* [[Special:MyLanguage/Policy:Universal Code of Conduct|Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]]
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Board Statement on Community Health (2020)|Azimio: Tamko la Bodi kuhusu Afya ya Jumuiya (2020)]]
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Board Statement on Community Health (2020)|Azimio: Tamko la Bodi kuhusu Afya ya Jumuiya (2020)]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board noticeboard/May 2020 - Board of Trustees on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces |<span lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">Statement on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces (May 2020)</span>]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board noticeboard/May 2020 - Board of Trustees on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces |Tamko kuhusu Utamuduni wa Jumuiya yenye Afya, Ushirikiano, na Mahali Salama (May 2020)]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Project |<span lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">Universal Code of Conduct project page on Meta-Wiki</span>]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Project |<span lang="en" dir="ltr" class="mw-content-ltr">Universal Code of Conduct project page on Meta-Wiki</span>]]



Revision as of 03:00, 19 April 2024

Resolutions Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Desemba 2020.

Kwa kuwa, Bodi wa Wadhamini imeagiza Shirika litunge Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ili kuumba kanuni za kubana kwenye miradi yoyote ya Wikimedia; na

'Kwa kuwa, Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;

Kwa hivyo,

IMEAZIMIWA, kwamba Bodi ithibitishe na ipitishe Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kama sera ya kutekeleza kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

IMEAZIMIWA, kwamba awamu ya pili ya kutekeleza Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili, ikieleza njia wazi za utekelezaji, ikamilishwe kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha 2020-2021 (Julai 2021).


Connect
María Sefidari (Chair), Nataliia Tymkiv (Vice Chair), Esra'a Al Shafei, Tanya Capuano, Shani Evenstein Sigalov, James Heilman, Dariusz Jemielniak, Lisa Lewin, Raju Narisetti, Jimmy Wales

References