Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct/sw: Difference between revisions

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Content deleted Content added
Kisare (talk | contribs)
No edit summary
Kisare (talk | contribs)
No edit summary

(15 intermediate revisions by the same user not shown)
Line 8: Line 8:
|year = 2020
|year = 2020

'''Kwa kuwa,''' Bodi wa Wadhamini imeagiza Shirika litunge Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ili kuumba kanuni za kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

'''Whereas,''' the Board of Trustees has instructed the Foundation to develop a Universal Code of Conduct to create a binding minimum set of standards across all Wikimedia projects and spaces; and

'''Kwa kuwa,''' Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;

'''Whereas,''' the Board has reviewed the draft Universal Code of Conduct written by the joint volunteer-staff drafting committee, with extensive community feedback and outreach and with documentation of modifications in a publicly available change log;

Kwa hivyo,

Now, therefore, it is:

'''IMEAZIMIWA,''' kwamba Bodi ithibitishe na ipitishe Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kama sera ya kutekeleza kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

'''RESOLVED,''' that the Board approves and adopts the Universal Code of Conduct as an enforceable policy across all online and offline Wikimedia projects and spaces; and

'''IMEAZIMIWA,''' kwamba awamu ya pili ya kutekeleza Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili, ikieleza njia wazi za utekelezaji, ikamilishwe kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha 2020-2021 (Julai 2021).

'''RESOLVED,''' that the second phase of the Universal Code of Conduct implementation, outlining clear enforcement pathways, should be completed by the end of 2020-2021 fiscal year (July 2021).

Line 33: Line 23:
== {{Int string|References}} ==
== {{Int string|References}} ==
* [[Special:MyLanguage/Policy:Universal Code of Conduct|Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]]
* [[Special:MyLanguage/Policy:Universal Code of Conduct|Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]]
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Board Statement on Community Health (2020)|Resolution:Board Statement on Community Health (2020)]]
* [[Special:MyLanguage/Resolution:Board Statement on Community Health (2020)|Azimio:Tamko la Bodi kuhusu Afya ya Jumuiya (2020)]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board noticeboard/May 2020 - Board of Trustees on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces |Statement on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces (May 2020)]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board noticeboard/May 2020 - Board of Trustees on Healthy Community Culture, Inclusivity, and Safe Spaces |Tamko kuhusu Utamuduni wa Jumuiya yenye Afya, Ushirikiano, na Mahali Salama (Mei 2020)]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Project |Universal Code of Conduct project page on Meta-Wiki]]
* [[:m:Special:MyLanguage/Universal Code of Conduct/Project |Ukurasa wa mradi wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kwenye Meta-Wiki]]

[[Category:Universal Code of Conduct{{#translation:}}]]
[[Category:Universal Code of Conduct{{#translation:}}]]

Latest revision as of 03:46, 19 April 2024

Resolutions Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Desemba 2020.

Kwa kuwa, Bodi wa Wadhamini imeagiza Shirika litunge Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ili kuumba kanuni za kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

Kwa kuwa, Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;

Kwa hivyo,

IMEAZIMIWA, kwamba Bodi ithibitishe na ipitishe Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kama sera ya kutekeleza kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

IMEAZIMIWA, kwamba awamu ya pili ya kutekeleza Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili, ikieleza njia wazi za utekelezaji, ikamilishwe kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha 2020-2021 (Julai 2021).

Connect
María Sefidari (Chair), Nataliia Tymkiv (Vice Chair), Esra'a Al Shafei, Tanya Capuano, Shani Evenstein Sigalov, James Heilman, Dariusz Jemielniak, Lisa Lewin, Raju Narisetti, Jimmy Wales

References