Resolution: Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Revision as of 02:39, 19 April 2024 by Kisare (talk | contribs) (Created page with "'''Kwa kuwa,'' Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;")
Resolutions Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Desemba 2020.

Kwa kuwa, Bodi wa Wadhamini imeagiza Shirika litunge Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ili kuumba kanuni za kubana kwenye miradi yoyote ya Wikimedia; na

'Kwa kuwa, Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;

Now, therefore, it is:

RESOLVED, that the Board approves and adopts the Universal Code of Conduct as an enforceable policy across all online and offline Wikimedia projects and spaces; and

RESOLVED, that the second phase of the Universal Code of Conduct implementation, outlining clear enforcement pathways, should be completed by the end of 2020-2021 fiscal year (July 2021).


Connect
María Sefidari (Chair), Nataliia Tymkiv (Vice Chair), Esra'a Al Shafei, Tanya Capuano, Shani Evenstein Sigalov, James Heilman, Dariusz Jemielniak, Lisa Lewin, Raju Narisetti, Jimmy Wales

References